Saturday, November 17, 2012

ZIPI GHARAMA ZA NGORONGORO?

NAAM WADAU WA UTALII WA NDANI TAFADHALI NIJULISHENI GHARAMA ZA USAFIRI WA BUS KUTOKA ARUSHA MPAKA NGORONGORO CRATER!

Monday, August 20, 2012

SAFARI YA ISIMILA



Kutakuwa na ziara ya kutembelea Hifadhi ya Taifa ya mambo ya kale Isimila, mwanzoni wa mwa mwezi September. Lengo la ziara hiyo ni kudumisha utalii wa ndani. Ada ya ushiriki ni Tsh 10,000/= tu kwa usafiri na kiingilio. Kwa mawasiliano zaidi tumia email kwetuzaidi@gmail.com

  ...Sehemu ya utajiri wa Isimila

Saturday, August 18, 2012

Fuu la Mkwawa...!

Fuvu hili la Mkwawa, shujaa wa kabila la wahehe aliyejiua kukwepa hila za Wajerumani linapatikana huko katika ardhi yake. Kalenga, Iringa, Tanzania

Saadan raha..!

Hifadhi hii ipo Saadan mkoani Pwani

Upwa wa Zenj

Ni sehemu tulivu kwako na familia yako kwa ajili ya kutafakari maisha yetu yaliyojaa siasa mpaka vyumbani


KIMONDO....!

Kipo Mbozi Tanzania

Old great Market

Linapatikana Kilwa Kisiwani, Tanzania