Hii ni Blog itakayojihusisha na maswala anuai ya vivutio vya kitalii vilivyopo hapa nchini Tanzania. Ni Blog itakayokuelezea wapi pana nini na wewe mgeni utaweza kujipatia hicho ukitakacho katika hazina ya nchi yetu.
Sunday, June 10, 2012
IGANGILONGA
Hili ni jiwe liitwalo Gangilonga. Wakazi wa asili wa Iringa (wahehe) walilipa jina jiwe hili wakiwa na maana jiwe linalosema. Hii ni kutokana na mwangwi unaotokea unapozungumza kwa sauti kubwa katika eneo hili!
No comments:
Post a Comment