Hii ni Blog itakayojihusisha na maswala anuai ya vivutio vya kitalii vilivyopo hapa nchini Tanzania. Ni Blog itakayokuelezea wapi pana nini na wewe mgeni utaweza kujipatia hicho ukitakacho katika hazina ya nchi yetu.
Monday, June 11, 2012
MTO RUAHA!
UNAVYOONEKANA katika nyakati za kiangazi. Ni moja ya mito inayovutia sana Tanzania. Mto huu una umbo la kupindapinda kama joka kubwa linalotembea. Unapatikana mkoani Iringa!
No comments:
Post a Comment