Hii ni Blog itakayojihusisha na maswala anuai ya vivutio vya kitalii vilivyopo hapa nchini Tanzania. Ni Blog itakayokuelezea wapi pana nini na wewe mgeni utaweza kujipatia hicho ukitakacho katika hazina ya nchi yetu.
Saturday, November 17, 2012
ZIPI GHARAMA ZA NGORONGORO?
NAAM WADAU WA UTALII WA NDANI TAFADHALI NIJULISHENI GHARAMA ZA USAFIRI WA BUS KUTOKA ARUSHA MPAKA NGORONGORO CRATER!
Monday, August 20, 2012
SAFARI YA ISIMILA
Kutakuwa na ziara ya
kutembelea Hifadhi ya Taifa ya mambo ya kale Isimila, mwanzoni wa mwa mwezi September. Lengo la ziara hiyo ni kudumisha utalii wa ndani. Ada ya ushiriki ni Tsh
10,000/= tu kwa usafiri na kiingilio. Kwa mawasiliano zaidi tumia email kwetuzaidi@gmail.com
...Sehemu ya utajiri wa Isimila
...Sehemu ya utajiri wa Isimila
Saturday, August 18, 2012
Fuu la Mkwawa...!
Fuvu hili la Mkwawa, shujaa wa kabila la wahehe aliyejiua kukwepa hila za Wajerumani linapatikana huko katika ardhi yake. Kalenga, Iringa, Tanzania
Upwa wa Zenj
Ni sehemu tulivu kwako na familia yako kwa ajili ya kutafakari maisha yetu yaliyojaa siasa mpaka vyumbani
Ladha Ngorongoro!
Pundamilia na ndege aina ya korongo katika Ngorongoro. Tusiwaachie wageni pekee wafaidi ladha hii bali inatupasa kuionja!
Monday, June 11, 2012
KUMBUKUMBU CHUNGU!
HAPA ndipo mkulima Mwamwindi
alipomuua aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa enzi hizo aliyeitwa Kleruu.
Ni historia chungu lakini tamu. Inapatikana eneo la Mkungugu njiapanda
ya kwenda Ikengeza, Iringa Tanzania
MTO RUAHA!
UNAVYOONEKANA katika nyakati za kiangazi. Ni moja ya mito inayovutia sana Tanzania. Mto huu una umbo la kupindapinda kama joka kubwa linalotembea. Unapatikana mkoani Iringa!
Sunday, June 10, 2012
IGANGILONGA
ISIMILA
Hapa ni kwenye hifadhi ya mambo ya kale, Isimila Iringa. Hifadhi hii ina miaka mingi na ni ya kipekee zaidi duniani!
FAHARI-TANZANIA!
HII NI BLOG ITAKAYOJIHUSISHA NA MASWALA ANUAI YA VIVUTIO VYA KITALII VILIVYOPO HAPA NCHINI TANZANIA. NI BLOG ITAKAYOKUELEZEA WAPI PANA NINI NA WEWE MGENI UTAWEZA KUJIPATIA HICHO UKITAKACHO KATIKA HAZINA YA NCHI YETU.
TANZANIA TUNA UTAJIRI MKUBWA WA MBUGA, MITO, MABWAWA, BAHARI, MILIMA, TAMBARARE, MIINUKO, MABONDE, HAZINA YA UTAMADUNI, HIFADHI ZA MAMBO KALE, HISTORIA CHUNGU LAKINI ZINAZOVUTIA NA VINGINE VINGI VIZURI.
NI SEHEMU NZURI AMBAZO ZITAKUONDOLEA MSONGO WA MAWAZO NA KUIFURAHIA KAZI YA MUNGU AMBAYO KWA HAKIKA HAINA DOSARI.
NIPO IRINGA TANZANIA NA KWA MAELEZO ZAIDI IKIWEMO KUPELEKWA BAADHI YA MAENEO TUWASILIANE KWA NAMBA ZIFUATAZO
0715 439740 AU O754 439740
Email: kwetuzaidi@gmail.com
KARIBU SANA!
TANZANIA TUNA UTAJIRI MKUBWA WA MBUGA, MITO, MABWAWA, BAHARI, MILIMA, TAMBARARE, MIINUKO, MABONDE, HAZINA YA UTAMADUNI, HIFADHI ZA MAMBO KALE, HISTORIA CHUNGU LAKINI ZINAZOVUTIA NA VINGINE VINGI VIZURI.
NI SEHEMU NZURI AMBAZO ZITAKUONDOLEA MSONGO WA MAWAZO NA KUIFURAHIA KAZI YA MUNGU AMBAYO KWA HAKIKA HAINA DOSARI.
NIPO IRINGA TANZANIA NA KWA MAELEZO ZAIDI IKIWEMO KUPELEKWA BAADHI YA MAENEO TUWASILIANE KWA NAMBA ZIFUATAZO
0715 439740 AU O754 439740
Email: kwetuzaidi@gmail.com
KARIBU SANA!
Subscribe to:
Comments (Atom)















